Mmoja wa watuhumiwa wa kundi linaloendesha mfululizo wa
matukio ya kulawiti wanaume katika kijiji cha Chekereni nje kidogo ya
Jiji la Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa wanakijiji muda huu.
Hii inafuatia maandamano kwenda ofisi ya RCO kutozaa matunda. Wananchi wameazimia kufanya msako mkali ili kukomesha vitendo hivyo..
Mpaka sasa ni wanaume wengi wamelawitiwa kijijini hapo na baadhi wamelala hawawezi kutembea…

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment