0

Shindano la Big Brother Africa 2014 limetangaza tarehe za usaili katika nchi mbalimbali za Afrika zitakazoshiriki huku kwa Tanzania tarehe ya usaili ikipangwa kuwa 11-12 July katika hoteli ya New Africa Hotel, Dar es salaam. 

Mshindi wa mwaka huu atajinyakulia kitita cha $300,000.

Nchi zinazoshiriki mwaka huu ni Botswana, Ethiopia, Ghana, Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, Rwanda, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Uganda, Zambia na Zimbabwe.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X