Huu hapa ndo mjengo mpya anaoujenga kisura wetu kutoka pande za Runzuwe Tamali (SADA) ni waukweri ucheki hapa
Hakika ukijituma sana na mafanikio utayaona na moja ya mafanikio hayo ni pamoja na ujenzi. Haya hapa ni baadhi ya mafanikio aliyopata aliyopata kisura wetu kutoka pande za Runzewe. Shebby D Blog inampa ongera sana akomae hivyo hivyo . Msome bofya hapa na kupitia facebook huyu hapa

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment