Home
»
ENTERTAINMENT
»
KISURA
» KISURA WETU WA WIKI LEO NI KUTOKA PANDE ZA RUNZEWE ANAITWA TAMALI NYAMATE (SADA) MSOME HAPA
|
Sio kwamba naigiza haya ndo mavazi yangu halisi |
|
Naitwa Tamali Nyamate (Sada)kwa sasa naishi Runzewe napenda sana kuchati na watu mbali mbali na pia ni mpenzi wa movie, mi na majungu tuko tofauti . Najishughulisha na bihashara ya nguo na viatu nauza jumla na leja leja pia nauza weaving za kampuni ya darling kwa bei nafuu sana na ukiitaji popote unaletewa Duka langu linaitwa SAADA CLASSIC Lipo pande za Runzewe. Na mzigo wangu natoa Uganda na Goma.Ninayemkubali ni sana ni Desgna Getrude Fedreek(MINDE) . Matalajio yangu kuwa na kampuni yangu ya uuzaji na Usambazaji wa nguo, Nitafute kupitia ashubkimwana@yahoo.com au skylady_sady19whatsup, haya sio maneno yangu bali ni ya KISURA wetu wa leo anaonyesha ni jinsi gani anajishughulisha. SHEBBY D BLOG inakutakia kila la heli ufanikiwe na malengo yako yatimie. |
|
|
|
Niko kawaida sana kwani nawapenda sana watu wote wanaonijali |
|
Mi najikubali sana na niko tofauti na unifikiliavyo . |
Huyu kisura wa leo simuelewi elewi kavaa ushungi!
ReplyDeleteKwani kuvaa hivyo haitakiwi hilo vazi tu wangu sisi tunachoangalia picha ulizotuma na jinsi unavyojikubali nawe kama ni mrembo karibu sana
ReplyDelete