SHEBBY D BLOG

Na kama tulivyowatangazia Umma, wale
waliochelewa kufanya hivyo walipata leseni zao kwa kulipa ada na adhabu
kwa mujibu wa Sheria ya Leseni Namba 25 ya 1972 kifungu cha 11(a) na
(b). Ukaguzi: (Kifungu na 17 cha Sheria Na 25 ya 1972) Ukaguzi
unafanyika ili kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika kwa mujibu wa
Sheria na taratibu za nchi.
Kama alivyoagiza KMWVB, kwamba Mamlaka za Leseni zifanye ukaguzi wa kina katika maeneo yao, tunapenda kusisitiza kuwa ukaguzi huu ufanyike kati ya mwezi wa Aprili na Mei. Wito kwa wananchi Wananchi kufuata Sheria na taratibu za nchi, kwani kufanya hivyo ni alama ya maendeleo. Kigezo kimoja cha kupima maendeleo ya watu, ni kwa jinsi gani watu hao wanafuata taratibu.

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment