Anajulikana sana kwa jina la ZOLA D KING
lakini jina lake kamili ni DAVID M. MLOPE, ni msanii wa Bongo Hip Hop
lakini anamuda kidogo hajatoa wimbo wowote mpya. Toka mwaka huu umeingia
jamaa bwana katika ukurasa wake huu wa Facebook
ameonekana akiwa kwenye mazoezi makali sana sidhani kama kuna msanii wa
hapa bongo au nje ya bongo anapiga mazoezi haya anayoyafanya Zola.
Kwanza kama ulikuwa haujui Zola hajawahi
kunywa wala hapendi kutumia kilevi, pili Zola huwa hapendi kabisa kwenda
DISCO siku ukimwona basi ujue kuna show fulani na jamaa amekuja kutoa
ushirikiano tu. hebu endelea kutizama picha hizi zinazomwonyesha
akifanya mazoezi.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment