Shilole ambaye kwa sasa anayetamba na wimbo wake mpya wa ‘Chunabuzi’ akizungumza kupitia kipindi cha 255 ya XXL ya Clouds FM.
Msanii huyo mwenye taaluma ya Hotel Management alisema “mgahawa huo nafungua pale pale nyumbani kwangu ninapoishi Mwananyamala na aliongezea kwa kusema “kutakuwa na vitu vingi sana kwa sababu kutakuwa na vitu vya kisasa sana na chakula kitakuwepo kuanzia asubuhi.”

Jina la mgahawa huo limetokana na wimbo wake wa ‘Chunabuzi’pia Shilole aka Shishi aliwahi kufanyakazi katika hotel ya Peackock na baadae akafanya kazi Florida restaurant then akaacha baada ya kupata mpunga na kuanzisha biashara zake mwenyewe kama Shilole.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment