Jana katika Kipindi cha leo Tena
Mwanadada Wema Sepetu Aliulizwa kwanini Siku hizi ananenepa sana kiumbo
na Mwanadada huyo mrembo alijibu moja kwa moja kuwa ananenepa kwa sababu
ana amani ya moyo kwa vile yupo na mtu kimapenzi ampendaye kuliko wote
duniani...Nadhani wote mnamjua ni nani? Mapenzi raha Bwana asikwambie
mtu ukimpata akupendaye na wewe anakupenda lazima unenepe.Ni Diamond Platnum
Home
»
ENTERTAINMENT
» Wema sepetu akili huyu Mwanaume ndiye anayesababisha anenepe na Awe na Afya Njema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment