Home
»
ENTERTAINMENT
» HIVI NDIVYO WEMA SEPETU ALIVYO FUNGUKA JUU YA KAJALA KUNYWESHWA SUMU KWENYE KUMBI YA STAREHE
Siku ya Jumatatu Staa wa filamua za
Kibongo, Kajala Masanja kupitia account yake ya Instagram aliandika kuwa
alipokuwa kwenye shoo ya Izzo B,Club 71 iliyopo maeneo ya Tegeta,
ghafla alianza kuumwa ndipo alipopelekwa nyumbani na kuelekea hospitali.
Aidha alisema kuwa alipofika hospitali
alipimwa akaonekana amekula sumu na kuongeza kuwa alimshukuru Mungu na
kuendelea vizuri.
Kajala hakuweza kupatikana siku hiyo ya Jumatatu, ila
255 imezungumza na swahiba wake wa karibu Wema Sepetu amefunguka
kilichotokea usiku huo.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment