0



Ni ajali ya kipee kabisa, Chanzo cha habari kikiieleza Website hii  kwamba gari la Hassani Trans linalo toka Moshi kwenda mererani limegonga ng,ombe wanne na kuwauwa wote papohapo.


Ila hakuna abiria aliyeumia wala kufariki dunia cha ajabu ni mifugo hao 4 hamna alie toa damu hata mmoja hilo limeleta gumuzo katika eneo la tukio,

Yani Ng'ombe wamegongwa wakafa bila kutoa damu na balada yake wakatoa maji kama wanavyoonekana hapo pichani. Wakazi wa kijiji cha
KIA njia panda ya uwanja wa Kilimanjaro International Airpot KIA wabaki na alama ya kuuliza (?)Imeripotiwa na Afande wa Ust taifa (Dj Tindo) Kutoka kia.Written By Masai


Du!



Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X