0


AMANDA Poshi mwigizaji wa filamu Bongo amesema kuwa kwa sasa yupo single hana mchumba wala mume bali anasubiri atokee mwanaume mwenye sifa ambazo kaziweka wazi, endapo atatokea mtu wa namna hiyo atajikwalia ushindi kwa kumpata yeye na kuwa mke wa maisha yake.
.

Amanda Poshi akiwa katika pozi

“Nahitaji mwanaume mchakalikaji, mishemishe za mjini anazijua, anijali na kunipenda zaidi sipo tayari kuolewa na mwanaume asiyejielewa, mtu mwelewa ambaye hauwezi kupishana Kiswahili na kuzua balaa la ugomvi siwezi bab,”anasema Amanda.

Moja ya masharti yake mengine ni pamoja na mwanaume ambaye atakuwa tayari kumuoa awe tayari kumruhusu kuendelea na kazi ya uigizaji asimzuie kwani itakuwa ndio sababu ya kutengena kwao, mtu ambaye atakuwa tayari kwa hayo atampatia zawadi ya kumzalia watoto wawili kwa maisha yao.
Credit:  FILAMUCENTRAL

KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE KWA MAPICHA ZAIDI

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X