0
sungura

Msanii aliyetengeneza sanamu la Nelson mandela huko south africa ameingia kwenye matatizo makubwa, baada ya serikali hiyo ya south African kugundua kwamba kwenye sikio la sanamu hilo kuna ka sanamu pia kadogo ka panya, kama inavyo onekana kwenye picha. Serikali hiyo imeamuru panya huyo atolewe haraka kwani haileti picha nzuri au maana yoyote kuwepo na kitu kama hicho.

Msanii huyo aliomba radhi kwa kutuma email kadhaa kwa serikali, lakini hakuna iliyojibiwa, baadae alipewa msamaha ila pia alijibu makosa kwanini aliamua kuweka kitu kama hicho kabla ya kutoa taarifa kwa serikali na pia kutoa maana yake

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X