1

Kaka Ally Yohana anatafuta mchumba wa ukweli

Hi to All, Jina langu Naitwa Ally naishi Mwanza natafuta mchumba awe siliasi na maisha sibagui dini wala rangi haya hapa  mwasiliano yangu 0768668645

Dada Asya anatafuta mchumba

Naitwa Asya bakar.umri 33.naishi zanzibar.nimejitokeza kwenye safu hii kwa mara ya kwanza.natafuta mchumba awe na umri 35.awe muislamu na mwenye mapenzi ya dhati pia akubaliane na hali halisi .nna watoto 4.kwa sasa nipo oman kikazi.aliye tayari awasiliane kwa +96895239867


Kaka Vicent anatafuta rafiki wa kike wa kuchat nae

Hi Dada Naomi, Mi Naitwa Vicent Naishi Dar,natafuta Rafiki Wa Kike Wa
Kuchat Nae.

Kaka Wille anatafuta mchumba/mke


Kwa jina Wille natafuta mchumba/mke mwenye uchungu na maisha aje nimuoe, awe mwembamba wastani maji ya kunde,kabila lolote dini yoyote isipokupokuwa ya kishetani. No 0765838557


Dada Julietha anatafuta mchumba

Habari miss Naomi. Naitwa Julietha nina umri wa miaka 24 ni mwembamba mrefu mweusi nahitaji mchumba wa kiume umri kuanzia miaka 26-30 awe mrefu futi 5 au zaidi asiwe mnene sana sichagui kabila wala rangi awe anafanya kazi jaman nahitaji mchumba nipo serious aliyetayari email: jamesjulietha@gmail.com atanipata hapa

Kaka Kulwa  anatafuta mchumba wa Kike

Naitwa Kulwa natafuta mchumba wa kike anaye jitambua mwenye sifa awe na mapenzi ya kweli juu yangu asije nitenda kwani naogopa sana sibagui dini wala kabira mi nipo Lunzewe kazi yangu ni fundi simu namba zangu hizi hapa 0757175787

Kaka Jerry anatafuta mchumba

Naitwa kaka Jerry ,miaka 37natafuta mchumba umri kuanzia 25-35 ,wasifu wake awe hajawahi kuolewa na hana mtoto ,na ambaye yupo tayari tuanze familia pamoja ,aliye serious aniandikie jbwemero @yahoo.com .zote zitajibiwa

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X