![]() |
Kaka Ally Yohana anatafuta mchumba wa ukweliHi to All, Jina langu Naitwa Ally naishi Mwanza natafuta mchumba awe siliasi na maisha sibagui dini wala rangi haya hapa mwasiliano yangu 0768668645 |
Dada Asya anatafuta mchumba
Naitwa Asya bakar.umri 33.naishi zanzibar.n imejitokez a kwenye safu hii kwa mara ya kwanza.nat afuta
mchumba awe na umri 35.awe muislamu na mwenye mapenzi ya dhati pia
akubaliane na hali halisi .nna watoto 4.kwa sasa nipo oman kikazi.ali ye tayari awasiliane kwa +968952398 67
Kaka Vicent anatafuta rafiki wa kike wa kuchat nae
Hi Dada Naomi, Mi Naitwa Vicent Naishi Dar,natafuta Rafiki Wa Kike Wa
Kuchat Nae.
Kuchat Nae.
Kaka Wille anatafuta mchumba/mke
Kwa jina Wille natafuta mchumba/mke mwenye uchungu na maisha aje nimuoe, awe mwembamba wastani maji ya kunde,kabila lolote dini yoyote isipokupokuwa ya kishetani. No 0765838557
Dada Julietha anatafuta mchumba
Habari
miss Naomi. Naitwa Julietha nina umri wa miaka 24 ni mwembamba mrefu
mweusi nahitaji mchumba wa kiume umri kuanzia miaka 26-30 awe mrefu futi
5 au zaidi asiwe mnene sana sichagui kabila wala rangi awe anafanya
kazi jaman nahitaji mchumba nipo serious aliyetayari email: jamesjulietha@gmail.com atanipata hapa
Kaka Kulwa anatafuta mchumba wa Kike
Naitwa Kulwa natafuta mchumba wa kike anaye jitambua mwenye sifa awe na mapenzi ya kweli juu yangu asije nitenda kwani naogopa sana sibagui dini wala kabira mi nipo Lunzewe kazi yangu ni fundi simu namba zangu hizi hapa 0757175787

sana tu Shebby D blog
ReplyDelete