
Wanafunzi wanao toka Tanzania kwenda Uganda baadhi yao wamekuwa wakitia
aibu pindi wanapokuwa huko. Wamekuwa wakijiingiza kwenye makundi mabaya
na tabia chafu, wengi wao hupanga vyumba mitaani na kuishia kuomba pesa
tu kutoka kwa wazazi na hawaendi shule wanaishia kunywa pombe na kukesha
club.
Danguro hili liko huko kikoni kampala ambako kuna jopo kubwa la watoto
wa kitanzania wanaoishi magetoni ambao hata hawajulikana shule wanaenda
saa ngapi. NOMA SANA..!!
Balaa tupu ni majanga zaidi
ReplyDelete