1



Wanafunzi wanao toka Tanzania kwenda Uganda baadhi yao wamekuwa wakitia aibu pindi wanapokuwa huko. Wamekuwa wakijiingiza kwenye makundi mabaya na tabia chafu, wengi wao hupanga vyumba mitaani na kuishia kuomba pesa tu kutoka kwa wazazi na hawaendi shule wanaishia kunywa pombe na kukesha club.
Danguro hili liko huko kikoni kampala ambako kuna jopo kubwa la watoto wa kitanzania wanaoishi magetoni ambao hata hawajulikana shule wanaenda saa ngapi.                 NOMA SANA..!!

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X