Jeshi la
polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia
mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko
wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya
kijamii
pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti mbalimbali
Mwandishi
wetu amefanikwa kuzinasa picha za Manaiki akiwa chini ya ulinzi wa
polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura.
Habari za
uhakika zilizonaswa zinasema kuwa
msanii huyo alikamatwa siku chache baada kuvuja kwa picha zake za aibu
zikimuonesha akiwa na wanawake tofauti tofauti.
HIZI NI
PICHA ZAKE NYINGINE 400 AKIWA MTUPU NA MADEMU ZAKE.....
Bofya hapo juu.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment