0

KIVAZI cha Ndugu wa maharusi, kimesababisha patashika katika Kanisa Katoliki, Parokia FacebookJisajili Mtakatifu Petro, baada FacebookJisajili Paroko Msaidizi wa Kanisa Hilo, Padri Paulo Haule, kusitisha ibada Mpaka mhusika atoke akavae Vizuri.


"Ninatoa Dakika 10 to aliyeingia Rangi mavazi ambayo hayatakiwi kanisani humu wa Kutoka Mara Moja akavae Vizuri, la sivyo Ndoa Yao haitafungwa, " alisema Padri Haule wa Kanisa Hilo lililoko Oysterbay, Dar es Salaam.


Awali vurugu hizo zilizotokea Jumamosi iliyopita, zilianzia nje, wakati Katekista wa Parokia hiyo, Yohane Maboko, alipotangazia wanandoa Rangi Ndugu Zao waliokuwa mabega wazi au kuvaa nguo fupi, kutafuta nguo za kujifunika au wasiingie kabisa kanisani.


Maharusi walikubali kutekeleza Ombi Hilo, wakavishwa vitambaa mabegani vya rangi tofauti Rangi gauni jeupe la Harusi, wakaruhusiwa kuingia kanisani, tayari kufunga pingu za Maisha Zao.


Hata hivyo, Mmoja wa Ndugu wa maharusi hao ambaye ujaini ziwa halikupatikana Mara Moja, alipotaka kulazimisha kuingia Rangi kivazi Chake cha mabega wazi, alizuiwa Rangi Katekista Maboko. Katekista huyo alimfuata mwanamke huyo ILI kumrudisha akavae Vizuri, lakini aliibua Zogo Rangi kulazimisha kuingia Rangi vazi Hilo.


Zogo Hilo lilipoendelea, wanandugu waliingilia Kati, wakitetea vazi Hilo ambapo Mmoja wa wanandugu, alimvua miwani Katekista Maboko Rangi kuipiga Chini ikavunjika Huku yeye Rangi wenzake wakimtolea Maneno Makali FacebookJisajili kumtaka asimzuie Ndugu Yao kuingia kanisani. 


Wakati Ndugu hao wakimdhibiti Katekista Maboko, mwanamke huyo alitumia mwanya Huo Rangi kupenya Hadi Ndani FacebookJisajili Kanisa, ambamo Padri Haule, alikuwa akijiandaa kuanza ibada.


Baada FacebookJisajili Padri Haule kupata taarifa, alitangaza kuwa Ndoa FacebookJisajili maharusi wa msichana huyo, haitafungwa Hadi hofu ametoka. 

Licha FacebookJisajili Paroko kutangaza hivyo, Bado ukaidi uliendelea Jambo lililomfanya Katekista Maboko kumfuata Tena Dada huyo Rangi kumwamuru atoke nje, ambapo aliendelea kupinga Rangi baadaye akatekeleza Amri hiyo FacebookJisajili Paroko.

 Baada FacebookJisajili hapo shughuli za kufungisha Ndoa ziliendelea to Amani Rangi utulivu Hadi Mwisho maharusi wakatoka Kwenda kuendelea Rangi Mambo mengine.


Akizungumza Rangi mwandishi wetu, Katekista Maboko alisema Waumini hao walikiuka maadili ambayo Kanisa Lina wajibu wa kulinda Rangi kuyasimamia ILI Waumini wake wayafuate. 


Alisema miwani YAKE iliyovunjwa ilikuwa Rangi thamani FacebookJisajili Sh 90,000 Rangi baada FacebookJisajili ibada hiyo, aliyetenda kosa Hilo alimwendea Rangi kumwomba radhi Rangi kulipa Sh 50,000 Rangi kuahidi kumalizia kiasi kilichobaki wakati wowote.


Maboko alisema uvaaji wa mavazi yasiyotakiwa kanisani hapo, umekuwa ukipigiwa Kelele Mara to mara, Rangi Hata katika mafundisho FacebookJisajili Ndoa huambiwa lakini ukaidi unaendelea. 

"Maharusi wakati wa mafundisho FacebookJisajili Ndoa tunawaambia kuhusu mavazi Yao Rangi Hata FacebookJisajili Ndugu Zao watakaowasindikiza kanisani, kuwa wavae kistaarabu lakini hawasikii," alisema Katekista Maboko. 


Makanisa Mengi Siku hizi yamekuwa yakipiga marufuku uvaaji wa nguo fupi Rangi zinazoacha mabega wazi to wasichana Rangi wanawake, wakati wa ibada za kawaida za Ndoa Rangi.

Habarileo

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X