Home
»
KITAIFA
» MFUMO MPYA WA USAJILI WA VIZAZI NA VIFO KUPITIA MKAKATI WA USAJILI WA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO WAZINDULIWA JIJINI MBEYA LEO
|
Picha ya pamoja mara baada ya kuuzinduliwa mfumo mpya wa
usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri
chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na
RITA,imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani
Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la
UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la
Wafanyakazi la kujitolea (VSO). |
|
Naibu
Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akizindua mfumo mpya wa
usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri
chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye
Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya,kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Philip Saliboko na kushoto
ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini,Dkt.Norman Sigalla na wa pili kulia ni
Mwenyekiti wa bodi ya Ushauri RITA,Bwa.Vincent Mrisho na wageni mbambali
wakilishuhudia tukio hilo adhimu kabisa.Shughuli nzima inaratibiwa na RITA. |
|
Mgeni
Rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki
akimkabidhi mmoja wa akina mama aliyejitambulisha kwa jina la Fides
Samson akikabidhiwa cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake mwenye umri chini
ya miaka 5,mara baada ya kuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na
vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa
wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda
Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali
likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na
Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO). |
|
Baadhi
ya akina mama wakiwa na vyeti vya kuzawaliwa vya watoto wao wanye zaidi
ya wiki mbili tangu kuzaliwa kwao,mara baada ya kabidhiwa leo na Mgeni
Rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki mara baada
ya kuuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati
wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla
hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani
Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la
UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la
Wafanyakazi la kujitolea (VSO). |
|
Mgeni
rasmi, Naibu Waziri wa katiba na
Sheria,Mh, Angellah Kairuki akizungumza mbele ya wakazi wa mji wa Mbeya
(hawapo pichani) mapema leo wakati alipokuwa akizindua mfumo mpya wa
usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri
chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye
Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya. |
|
Baadhi ya Wakazi wa jijini Mbeya wakiwa wamekusanyika
kwenye uwanja wa Ruanda Nzovwe mapema
leo wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo
kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa
Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda
Nzovwe,jijini Mbeya. |
|
Mwakilishi Mkazi wa shirika la UNICEF hapa
nchini,Dkt.Jamal Gulaid Mgeni akizungumza mbele ya wakazi wa mji wa
Mbeya (hawapo pichani) mapema leo wakati alipokuwa akizindua mfumo mpya
wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa
umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo
kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya. |
|
Baadhi ya akina mama
na watoto wao wakifuatilia kwa makini yalikuwa yakijiri kwenye hafla
fupi ya uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia
mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa
Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na RITA imefanyika mapema leo kwenye
Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya. |
|
Baadhi ya Wageni waalikwa na wawakilishi kutoka
mashirika mbalimbali ya Kimataifa wakifuatilia uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia
mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa
Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda
Nzovwe,jijini Mbeya. |
|
Mwenyekiti wa bodi
ya Ushauri RITA,Bwa.Vincent Mrisho akifafanua jambo kwa Baadhi ya Wakazi wa jijini la Mbeya (hawapo pichani)
kuhusiana na uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo
kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa
Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda
Nzovwe,jijini Mbeya.Aidha Bwa.Mrisho aliongeza kuwa mkakati huo
hauwalengi watoto walio chini ya miaka mitano tu bali ni sehemu ya mfumo
mpya wenye lengo la kuwapa nafasi wananchi walio zaidi ya miaka mitano
kujisajili na kupata vyeti vya kuzaliwa. |
|
Mkuu
wa Wilaya ya Mbeya Mjini,Dkt.Norman Sigalla (pichani kati) akiwa na
Mgeni Rasmi pichani kushoto,Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh,
Angellah Kairuki mara alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa Ruanda Nzovwe
jijini Mbeya kwa ajili ya kuuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na
vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure
jijini Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda
Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali
likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na
Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO).Picha na Michuzi Media
Group-Mbeya. |
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment