Habari zilizotufikia hivi punde zinadai
kuwa
Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi amekamatwa kwa kile
kinachodaiwa ni uchochezi na kumkashifu Waziri Mkuu Mzengo Pinda.
Hivi karibuni, Mh. Sugu alidai kuwa
Tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama Mizengo
pinda.
Tunaendelea
kufuatilia undani wa habari hii:
Post yake
facebook:
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment