WASICHANA
wanne kutoka Nigeria wamegundua jinsi ambayo mkojo unaweza kutumika
kama mafuta ya kusukuma jenereta.
Wasichana hao, Duro-Aina
Adebola,Akindele Abiola, Faleke Oluwatoyin na Bello Eniola, wote wenye
umri wa miaka 14 walifanya maonyesho ya jenereta hilo na lilionekana
kufanya kazi mwishoni mwa mwaka jana
Genereta hilo linaweza kufanya kazi kwa muda wa saa moja likitumia lita moja tu ya mkojo. Linauwezo wa kuendesha vifaa vinavyotumia umeme wa kati kama vile taa, jokofu, redio, televisheni n.k..
Genereta hilo linaweza kufanya kazi kwa muda wa saa moja likitumia lita moja tu ya mkojo. Linauwezo wa kuendesha vifaa vinavyotumia umeme wa kati kama vile taa, jokofu, redio, televisheni n.k..
Kwanza mkojo huo unawekwa kwenye chombo kiitwacho electolytic cell, ambacho hutenganisha mkojo huo na hydrogen. Kisha hydrogen hiyo huenda moja kwa moja kwenye chujio la maji kwaajili ya kuisafisha na kisha kuisukuma katika gas cylinder.
Hiyo gas cylinder nayo huisukuma hydrogen mpaka katika kitu kinachoitwa, liquid borax ambayo huisukuma hewa hiyo na kuliwezesha jenereta kufanya kazi.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment