0




Waigizaji waliopo orodha A kwenye kiwanda cha filamu nchini, Vincent Kigosi aka Ray na Jacqueline Wolper aka Gambe, wapo location kushoot movie mpya.
Kutokana na maelezo ya picha hizo walizoziweka kwenye akaunti zao za Instagram, inaonekana wanaigiza kama mke na mume.


Siye tena kazini new movie, mke wa mtu me hapa nacheza.me en broo ray mwenyezi mungu kua nasi mwanzo hadi tumalize inshaalah ,”
ameandika Wolper kwenye moja picha hizo.
Wolper akipitia
Hata hivyo jina la filamu hiyo inayoandaliwa chini ya kampuni ya Ray, RJ Company haijajulikana inaitwaje.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X