| Hapo sasa mashetani na mizuka ya kimanyema ikimpanda mambo ndio yanakuwa hivi.. |
| Hisia ya kile anachoimba humpeleka mbali
sana ..!! Inatokana na mizuka toka kwa mashabiki wanavyotoa sapoti..... |
| Hapa ni ile michezo ya kuringa ringa tu.....yanii moja mbili tatu.....!! |
| Tumeelewana watu wangu wa Tabora leo mpaka asubuhi.....!! |
| Mizuka Imepanda jamani nacheni nilewe....weweuweeeh...!! |
| Watu wa rangi zote wanajua ni nini mtoto wa Jakaya huwa nakifanya |
| Haya sasa ajajajjaajaja.....nini tena...?? eenh Jibu unalo tayari....!! |
| Tokelezea au sio.....? ...!! |

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment