Mwimbaji kutoka Tanzania House of Talent (THT) Barnabas Elias maarufu kama Barnaba amefiwa na mama yake mzazi alfajiri ya leo jijini Dar es salaam.
Taarifa zilizothibitishwa na rafiki wa karibu na msanii mwenzake Amini , zinasema mama yake Barnaba amefariki nyumbani kwake alfajiri ya leo Jumamosi (June 22) kutokana na presha.
Tunawapa pole ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na familia ya Barnaba ambao wako katika kipindi hiki kigumu na Mungu alizae mahala pema roho ya marehemu, Amen.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment