Kuna
taarifa kwamba wagombea
wawili, Jamal Malinzi na Michael Wambura wamerudishwa kuwania nafasi
walizokuwa
wakipigania kuzipata katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF).
Taarifa
kutoka ndani ya TFF
zimeeleza, Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeandika barua
ambayo
imeshatua Fifa tayari kuwarejesha Malinzi, Wambura na wengine waliokuwa
wanagombea.
Uongozi
wa TFF unatarajia kuzungumza muda mfupi ujao kuanzia sasa katika ofisi
zake katika eneo la Ilala jijini Dar
es Salaam.
Tayari
Salehjembe ametega masikio
kuhusiana na kitakachotokea na atatutaarifu kama ni hiki kutoka ndani au
kutakuwa na mabadiliko.

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment