Home
»
ENTERTAINMENT
» 50 CENT AMFANANISHA RICK ROSSY NA MWANAMKE......USHAHIDI WA PICHA
Wote tunafahamu kuwa hakuna
maelewano mazuri kati ya rapper 50 Cent na boss wa MayBach Rick Ross,
leo kupitia Instagram kaweka picha ya Rick Ross akiwa na P.Diddy ambayo
ukiitazama kwa haraka haraka inaweza kukupa tafsiri tofauti kidogo, na
kisha akaandika caption 'Good Morning Girl. love
is in the air". Itazame
hapa
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment