Kushuka kwa heshima ya bunge
kulikuja baada ya Mh. serukamba kutukana tusi la nguoni " Come on FU* K YOU " bila kuchukuliwa
hatua yoyote.....
Katuni hii imechorwa na mkenya
ambaye ni mchora maaarufu wa katuni nyingi na kusambaa katika
mitandao mbalimbali.......
Katuni hii inamuonesha Serukamba
akimkojolea Spika huku akichekelea na wabunge wengine wakitandika
bia

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment