
Katika pita pita zetu tumekutana na
kijana aitwaye Saleh Abdul anayedai kuwa ni mdogo wake na Diamond
Platnumz. Saleh anadai yeye na Diamond wanachangia baba lakini jitihada
zake za kuwa karibu na kaka yake zimekuwa zikigonga mwamba kwakuwa
hitmaker huyo anadai kumkana.
“Mimi ni mtu ambaye nina kipaji cha
kuimba lakini najikuta kwamba naambulia patupu yaani kukosa msaada
wowote, nikimwendea kaka yangu Diamond anashindwa kunielewa, hataki
kunisaidia, halafu wakati mwingine ananikana kabisa kwamba mimi sio
mdogo wake,” amesema Saleh kwa uchungu

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment