
Bondia
Cosmas Cheka kushoto akipambana na Charles Mashali wakati wa mpambano
wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba siku ya mei mosi Cheka
alishinda kwa ponti mpambano huo Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment