MAMBO YALIKUWA HIVI..........
 |
| Msanii mkali diamondi jana alifanya show ya ukweli mjini Kahama na kwenye ukumbi maarufu wa MASABO . Kiukweli wakazi wa Kahama siku ya jana awataisahau kabisa.Leo wasafi wanaendeleza tour yao ndani ya Geita ndani ya AMBASSADO CLUB . |
|
 |
| WASAFIIIIIIIIII |
 |
| HAPA NDIO KAZI ILIPOAZIA |
 |
| Minataka kesho....... |
 |
| Siwasikiii watu wangu wa KAHAMA............. |
 |
| Kama kawaida yake hakuwatenga |
 |
| PIGA KELELEEEEE |
 |
| KIZAI ZAI |
 |
| KAHAMA....Tuendele Ama
Tusiendeleeeeeee.........???? |
 |
| mzuka ulikolea zaidi shati likawekwa pembeni |
 |
| Tumeelewana Kahama |
 |
| mi nataka kulewa lewaaaaaaaaa |
 |
| MAKAMUZI MWANZO MWISHO |
 |
| MWISHO WA SIKU NDIO KAMA HIVYO |
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment