
Pichani juu mawe yaliyowekwa na vijana yakiwa yamezuia barabara
kuu iendayo nchini Zambia.
Baadhi ya vijana wakiwa katika kituo cha kuuzia mafuta cha Oryx
kusubiri huduma.
KUTOKANA NA UPUNGUFU PAMOJA NA ONGEZEKO LA BEI ZA MAFUTA JIJINI
MBEYA, LEO VIJANA WALIFUNGA BARABARA KUU IENDAYO ZAMBIA ENEO LA MAMA
JOHN KWA MUDA WA SAA MOJA KABLA YA WANAUSALAMA KUWASILI ENEO HILO NA
KUONDOA VIKWAZO VILIVYOKUWA BARABARANI HAPO.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment