Sheikh Fadhil
Soraga akipandishwa kwenye Gari la Wagonjwa kwa lengo la kuwahishwa katika
Hospitali ya taifa Muhimbili Dar es Salaam baada ya kurushiwa
Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi huko
katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe.
Wananchi
mbalimbali wakishuhudia Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh
Fadhil Soraga
akiwahishwa katika Hospitali ya taifa Muhimbili Dar es Salaam
baada ya kurushiwa
Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi huko katika Kiwanja cha
Mwanakwerekwe.
(Picha na Yussuf
Simai-Maelezo Zanzibar)
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment