MKURUGENZI
MTENDAJI WA MAKAMPUNI YA DMK GLOBAL PROMOTIONS & NORTHERNZONE
ENT YENYE MATAWI USA ,UK & TZ, MR DICKSON MKAMA a.k.a Mr "DMK" AMETHIBITISHA
HABARI ZILIZOVUMA HIVI KARIBUNI KUHUSU KUSAINI MKATABA NA MWANAMUZIKI
ALIYEKO JUU KWA SASA NCHINI TANZANIA "OMMY DIMPLEZ" KWA AJILI YA
TOUR ZA NCHINI MAREKANI NA CANADA .AKIZUNGUMZA KUTOKEA WASHINGTON DC
BAADA YA KUWASILI KUTOKA TANZANIA,MR DMK AMESEMA KAMA KAWAIDA
WAKISHIRIKIANA NA "J & P ENT"
WATAWALETEA ZIARA YA MWANAMUZIKI HUYO KIPENZI CHA WENGI ANAYETAMBA NA
VIBAO VYAKE KAMA "NAI NAI",BAADAE NA VINGINE VINGI,TAREHE NA MIJI
KUTANGAZWA HIVI KARIBUNI PINDI TARATIBU ZOTE ZITAKAPOKAMIRIKA,MENEJA WA "OMMY
DIMPLEZ " MR MUBENGA PIA AMETHIBITISHA HABARI HIZI PAMOJA NA
PICHA WAKISAINI MKATABA...MBALI NA DIMPLEZ , DMK PIA
AMESEMA ZIARA ZA WANAMUZIKI.."BARNABA,SHETTA NA LINAH ZITAFUATA..USA
& CANADA KAENI TAYARI...KWAMAELEZO ZAIDI PIGA SIMU # USA +1
301-661-6207..OR ..TZ +255784715993
DIMPOZ NA DICKSON OWNER WA DMK
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment