Shiliningi miluioni 5 za kitanzania
zinahitajika ili kuwanusuru watu wawili walionasiana wakivunja amri
sita.
Watu wawili wakazi wa jijini Dar es Salaam wanadaiwa kukutwa wakiwa wamenasana wakati wakifanya tendo maalum la watu walio katika mahusiano (mke na mume) na kwakua wao sio mke na mume halali wamenasiana.

Mume wa mwanake ambae amefikwa na
maswaibu hayo ya mwaka jijini Dar es Salaam anahitaji kiasi hicho cha
fedha ili atoe PASSWORD ya pin hiyo kali aliuyoiweka katika eneo
takatifu la unyumba wao.
Taarifa za awali kutoka Temeke zinapasha kuwa wawili hao wapo katika hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam kwa unasuaji ambao wadadisi wa mambo hasa ya kijamii wanadai Hospitali hawataweza kuwanasua isipokuwa kwa wataalm wa jadi hasa Mume wa Mwenye mke ambaye aliwekewa tego.

Blog
hii itatujuza zaidi juu ya tukio hilo ambalo hadi sasa limekuwa ni
gumzo jijini na kujaza umati mkubwa wa watu na kusababisha polisi
kutumia mabomu ya machozi kutawanya watu eneo la tukio.
kwa
hisani ya Father Kidevu
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment