Msanii wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari, usiku wa kuamkia leo, April 14, 2022 baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga Kigamboni, Dar es Salaam.
Kaka wa marehemu ambaye pia ni msanii wa Bongofleva, Banana Zorro ametoa taarifa ya kinachondelea kuhusu msiba wa Maunda Zorro kwa kueleza kwamba kwa sasa msiba upo Maweni Kigamboni kwa Mzee Zorro na taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa baadaye.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment
EmoticonClick to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.