Ni Kampeni za Mtaa kwa Mtaa: LOWASSA Aibukia Tandale Sokoni Kuzungumza na Mama Ntilie na Wafanyabiashara Wengine

Aidha, wagombea hao waliwasili katika soko hilo asubuhi ya leo ambapo shughuli zilisimama kwa muda.
Kabla ya kuanza mazungumzo na wafanyabishara hao,Lowassa alikaribishwa chai na mmoja wa wafanyabiashara katika soko hilo.
Ziara
hiyo ya kushitukiza iliyoanzia Mbagala siku ya jana ni maalumu kwa
lengo la kuzungumza na wananchi wa hali ya chini kuhusiana na matatizo
yanayowakumba katika maisha yao ya kila siku.
Je, Unataka kufahamu kesho Lowassa atakuwa wapi? Endelea kufuatilia mtandao huu.


Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment