Akipiga stori na Amani, Esha alisema kuwa kuna mambo mengi yamekuwa yakimkwaza kwenye tasnia hiyo likiwemo suala la malipo, isitoshe tasnia ya filamu imeshuka kwa kuwa kazi nyingi sokoni zinagongana zikiwa na ladha moja ya mfumo wa maigizo.
“Nimeamua nijikite kwenye biashara, naanza kwa kufungua mgahawa na tayari nimeshapata wadhamini. Kwenye sanaa kuna vitu vingi nimevivumilia lakini nilichoambulia labda ni kushushwa thamani tu kwa kile kinacho
onekana wasanii hatujatulia,” alisema Esha.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment