RICH MAVOKO, VANESSA MDEE WAKIWAPAGAWISHA MASHABIKI WA KILI DAR 9/07/2014 12:27:00 PM Shaban R Dege 0 ENTERTAINMENT A+ A- Print Email Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko akiwapagawisha mashabiki ndani ya Leaders Club. Mwanadada Vanessa Mdee akifanya vitu vyake stejini. Rich Mavoko akiwarusha mashabiki na wimbo wake wa 'Roho Yangu'. Vanessa Mdee na wanenguaji wake wakiwachizisha mashabiki wa Kili.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment