0

Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi-(NEC), Jaji Lewis Makame amefariki baada ya kuugua maradhi ya moyo kwa muda mrefu.
Jaji Makame alikuwa amelazwa katika hospitali ya AMI iyopo Mikocheni, Dar es Salaam tangu July mwaka huu hadi mauti ilipomfika leo Alfajiri.
July, 28 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alikwenda kumjulia hali msaafu huyo wa NEC katika hospitali ya AMI.
Jaji Makame alistaafu katika NEC tangu July, 2011.
Mungu aialeze mali pema peponi, roho ya marehemu Jaji Makame. Amina.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X