Mrembo huyo ambaye alikuwa na muda mrefu hajapost picha inayohusu uhusiano huo, ameshare picha inayomuonesha Davido akimbusu, na nyingine wakiwa wameshikana mikono wakitembea na kuandika kuwa yeye ndiye dawa yake inayomtuliza maumivu.
Ujumbe mwingine unamtaja Davido kama ‘Master Key yake’.

“He like a Drug he relieves my pain.” Ameandika Nish.


Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment