Matukio ya
kukamatwa kwa Watanzania nchini China kwa kesi za biashara ya dawa za
kulevya yana idadi kubwa sana ndani ya hii miaka mitano iliyopita.
Miezi
miwili iliyopita Balozi wa Tanzania China alithibitisha kwenye
kwamba Watanzania wasiozidi mia mbili ndio wamefungwa kwenye
magereza mbalimbali ya China kutokana na kesi tofautitofauti ila dawa
za kulevya ndio zinaongoza’
Balozi
huyu alisema kwa wakati huo hakuwa na rekodi yoyote ya Mtanzania
kuhukumiwa kunyongwa au yeyote ambae tayari ameshanyongwa na kwamba kwa
taarifa zaidi Wizara ya mambo ya nje itafutwe.
Baada ya
hayo yote, hatimae katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje John Haule
March 25 2014 ametaja jumla ya Watanzania waliokamatwa kwa kesi ya dawa
za kulevya kwa kusema‘tuna Watanzania wengi tu ambao wapo kwenye
magereza kule China japo tumeshindwa kwa harakaharaka kupata idadi ya
waliojihusisha na shughuli ya dawa za kulevya lakini kuna rekodi fupi
tulizonazo sasa hivi’
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment