Baada ya
Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea
kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine, Lulu Michael naye
amekubali kuchukuliwa akiwa nusu uchi kwa ajili ya
kuupamba ukurasa wa mbele wa gazeti hilo ambapo
ndani ya gazeti hilo, Msanii huyu amefunguka mambo mengi kuhusiana na
maisha yake binafsi.
|
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment