Skip to main content
Ikufikie na hii kwamba mtangazaji staa Oprah Winfrey anakuja Tanzania…
Inaelekea President Obama kaacha upepo mzuri Tanzania manake
taarifa zilizoifikia muda mfupi uliopita baada tu ya
bondia Evander kuthibitishwa na yeye kuja Tanzania, mtangazaji staa wa
dunia Oprah Winfrey nae anatarajiwa kufika Tanzania.
Staa huyu ambae amewahi kufanya interview na mastaa wengine
kama marapper Jay Z na 50 Cent, unaambiwa kuna uwezekano mkubwa kabisa
usimuone Dar es salaam au sehemu nyingine maarufu za town, atakwenda
Serengeti moja kwa moja July 13 2013 kwa ajili
ya mapumziko tu na kuondokea hukohuko.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment