0

diamond Platnumz guest
Ukurasa wa lebel ya Diamond Platnuz [Wcb Wasafi] umetufahamisha kuwa huyu binti wa kuzungu ametoka nchini kwao Norway mpaka Tanzania kwasababu ya kumuona Diamond Platnumz tu na bhatimaye walikutana.

” Hatimae yule Dada Wa Norway akapata nafasi ya kuonana na @diamondplatnumz..kwa mujbu wake amesafiri Toka kwao kuja tu kumwona diamond ..inatia faraja Sana kuona MTU tena kutoka taifa la mbali anakua na mapenz makubwa kiasi hicho ”

” Tumekutana na huyu mrembo anadai. Kasafiri toka Norway kuja Tanga kumshuhudia @diamondplatnumz tu…Watu wna Mapenzi aisee 

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X