
Stori kubwa kwenye headlines za burudani nchini Marekani ni tuzo za MTV VMA’s 2015, kwenye
headlines za tuzo hizo zipo performances za wasanii waliotamba kwenye
stage, mastaa waliofanikiwa kuondoka na tuzo na wale wote waliotokea poa
kwenye red carpet ya Tuzo hizo.
Mastaa kama Nicki Minaj, Kim Kardashian, Ciara, John Legend, Wale, Kanye West, Amber Rose, Rita Ora na wengine walichukua time na kupiga picha kwenye red carpet kuonyesha swagga na mavazi yao ya usiku huo mkubwa.
Nimezikusanya zile chache za mastaa
katika pozi la red carpet, inawezekana nyingine umeziona au hujaziona…
karibu uzitazame nyinge kwenye picha hapa chini mtu wangu.
Nicki Minaj.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment