0


Mwigizaji  Irene Uwoya, hivi juzi  aliwauliza swali followers wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kuwa kitu gani wanapenda kwenye mwili wake, mara baada ya kuweka picha yake hiyo hapo juu. 
 
Swali  hilo liliibua maoni mengi huku kila mtu akisema lake na wengine wakisema hili swali ni tata kidogo na wengine wakisema huu ni uchokozi....
 
Nimeona sio mbaya nikishare na wewe swali hili kwa kulileta hapa nikiamini hapa  pia kuna wadau  wengi wa mwanadada;
 
Uwoya aliuliza; Kitu gani mnapenda kwenye mwili wanguuu ?????
Kazi ni kwako  mdau.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X