Ninaripoti kutoka Uganda kama ifuatavyo:
Baada ya Diamond kujisevia Zari kiulaini bila kutumia nguvu boyfriend
wa Zari aamua kujiweka kando kwa madai kwamba ni bora awe single kuliko
kuwa na Mwanamke asiyejiheshimu.
Ameorodhesha
tuhuma 5 ikiwemo kupasha kiporo na baba watoto wake, kuwa na mitafaruku
ya mara kwa mara kuhusu mali za exhusband Ivan, kukutana na Diamond
kwenye Ndege kisha kumalizana kiutu uzima na nyingine 3 Kama
alivyoziorodhesha.
Hata
hivyo mchepuko mwingine wa Zari (basketballer LK4 BBA season 7 ambaye
alikuwa anachepuka na Zari wakati Zari yuko ndoani) alimlaumu farouque
kwa kumuuliza "are you mad"?Pamoja na lawama za LK4 bado jamaa
anaonekana kuchoshwa na uchepukaji wa bidada kwani genye zake ziko
karibu.
Farouk
Sempala is hurting following cozy pics of his ex-lover Zari and
Tanzania's Diamond Platnumz that went viral. Diamond Platnumz and Zari
at a Beach in Dar. Using his facebook profile, he made this post
"I would
rather remain single than have a beautiful wife that does not respect
herself and turns out to justify her wrongs as rights, it's just a waste
of time and calories." The post was followed by five other points and
one of them was tagged to Zari and Diamond Platnumz - You bump into a
singer on a plane and you call that a project!
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment