0

Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchocholo wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitabuhi 
Baadhi ya wanachi wakijaribu kumuongalia bint huyo akiwa ana fahamu  huku akiwa katika kichocholo huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasifamika mjini kahama. 
Askari  polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu kumtabua msichana huyo  na bila mafanikio na kuomba msanda katika kituo cha polisi .
 Baadhi ya watu wakijaribu kumtambua msichana huyo .
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Baadhi ya wanachi wakimchukuwa binti huyo kwenda kwenye gari ya polisi na kupelekwa hospital ya wilaya ya kahama .
Hakiwa katika gari la polisi huku akiwa hana fahamu 
 Msichana akiwa hospital ya wilaya kahama daktali akijaribu kumkangua kama yuko hai .
 Hivi ndivyo msichana alipochukuliwa kupelekwa hospital ya wilaya kahama kwa uchunguzi zaidi
Baadhi ya askari polisi wamtoa msichana ndani ya gari ya polisi baada ya kumfikisha hospital ya wilaya kahama 
.
Hivi karibuni mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya alipinga marufuku biashara ya ngono katika wilaya yake. kutokana wasichana wengi kufanya biashara hiyo haramu .
Aidha  wilaya kahama imekuwa ni sehemu kubwa kwa wasichana kuingia katika biashara ya ukahaba jambo ambalo linafanya wasichana  wengi kubakwa na kutupwa katika mitalo ya maji au manyumba yasio kwisha .

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X