
Breezy ambaye ni boyfriend wa Karrueche Tran kwa takribani miaka minne na nusu sasa, amesema kuwa muda utakapofika ataoa ila kwa sasa bado ni mapema na hataki ku-rush.
“Yeah, lakini ninaogopa ndoa, kwasababu kwa sasa mimi bado mdogo, hiyo ndio sababu pekee. Watoto? Yeah ninahitaji kumpata Brown mdogo, nikiwa siwezi kucheza tena niweze kumfundisha kitu, sina haraka nina miaka 25”. Alisema breezy kwenye mahojiano ya Hot 97.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment