Rapper Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege Dar es salaam leo Nov 11 2014 alikwenda tena kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam.
Taarifa
kutoka mahakamani hapo zinaarifu kwa, upande wa Jamhuri umeomba kesi
ya msanii huyo iahirishwe mpaka December 1 2014 kwa kuwa upelelezi
bado haujakamilika.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment